4 years ago
Malaika
Lyrics
Malaika
Nakupenda malaika
Malaika
Nakupenda malaika
Naminifanyeje
Kijana mwenzio
Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa malaika
Pesa
Zasumbua roho yangu
Pesa
Zasumbua roho yangu
Naminifanyeje
Kijana mwenzio
Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa malaika
Kidege
Hukuwaza kidege
Kidege
Hukuwaza kidege
Naminifanyeje
Kijana mwenzio
Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa malaika
Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa malaika
Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa malaika
Copyright(s): Lyrics © TUNECORE INC
Lyrics Licensed & Provided by LyricFind
The Meaning of Malaika
Be the first!
Post your thoughts on the meaning of "Malaika".
2 years ago