Zanzibari Spice
Zanzibari Spice

Turunesh - Zanzibari Spice Lyrics

5
Zanzibari Spice Music Video

Zanzibari Spice Lyrics

Mapenzi yaki Zanzibari
Baby we ni kitu kali
Katisha roho ukisitisha
Inatisha ukinani
Ukishika ni faya
Acha roho mbaya

Shtuka ushanifika chini
Tushawaka akili
Asali yako ni tamu
Nachovea pilipili

Nadhani ni hisiya
Bila sauti unasikia

Shtuka tuko kati ya shuka
Shika nayeyuka
Nashindwa kutammka
Kuamka sitaki
Only you can take it
Only you can take it

Maji yangu ni sacramental
Tumia ulimi
Dunia ni mimi
Asili ya mahaba
Usiliye baby
Peponi ni hapa

Nadhani ni hisiya
Bila sauti unasikia
Kati ya shuka
Shika nayeyuka

Writer(s): Sophia Mufuruki
Copyright(s): Lyrics © O/B/O DistroKid
Lyrics Licensed & Provided by LyricFind

Attach an image to this thought

Drag image here or click to upload image

The Meaning of Zanzibari Spice

Be the first!

Post your thoughts on the meaning of "Zanzibari Spice".

Latest Blog Posts
Lyrics Discussions

1

136

1

13
Hot Songs
Recent Blog Posts