Waweza - Acoustic
Waweza - Acoustic

Noel Nderitu - Waweza - Acoustic Lyrics

20
Waweza - Acoustic Music Video

Waweza - Acoustic Lyrics

Kila ninapofanya kazi
Kwa uwezo wangu mi siwezi
Ingawa nimejitahidi
Kusonga mbele kusonga
Lakini mi sibabaiki
Kwani wewe unami
Mamlaka yote duniani ni yako
Hakuna jambo usiloliwe loliweza
Kwa nguvu zako Baba tumeshi tumeshinda
Imani yangu ipo kwako we
Wewe Bwana
Nami ntajificha chini yako
Wewe Mwamba
Wewe waweza
Wewe waweza Bwana
Wewe waweza
Wewe waweza Bwana
Wewe waweza
Wewe waweza Bwana
Wewe waweza
Wewe waweza Bwana
Unaweza Baba
Hakuna jambo usiloliwe loliweza
Kwa nguvu zako Baba tumeshi tumeshinda
Imani yangu ipo kwako we
Wewe Bwana
Nami ntajificha chini yako
Wewe Mwamba
Wewe waweza
Wewe waweza Bwana (Unaweza Bwana)
Wewe waweza (Hakuna aliye kama wewe)
Wewe waweza Bwana (Hakuna aliye kama wewe)
Wewe waweza (kama wewe)
Wewe waweza Bwana
Wewe waweza (Waweza)
Wewe waweza Bwana
Wewe waweza (Unaweza)
Wewe waweza Bwana (Waweza yote)
Wewe waweza
Wewe waweza Bwana
Wewe waweza
Wewe waweza Bwana
Wewe waweza (Unaweza Bwana)
Wewe waweza Bwana
Mfalme wa wafalme ni wewe ni wewe (Unaweza Bwana)
Hakuna wakulinganishwa na we Baba (Unaweza Bwana)
Nguvu zako hazina kikomo Baba (Unaweza)
Unaweza Bwana
Wewe waweza
Wewe waweza (Waweza)
Wewe waweza Bwana
Wewe waweza (wewe wewe)
Wewe waweza Bwana (Wewe waweza)
Wewe waweza (Wewe waweza Baba)
Wewe waweza Bwana (Nakuamini Baba)
Wewe waweza
Wewe waweza Bwana
Wewe waweza
Wewe waweza Bwana

Kila ninapofanya kazi
Kwa uwezo wangu mi siwezi
Ingawa nimejitahidi
Kusonga mbele kusonga
Lakini mi sibabaiki
Kwani wewe unami
Mamlaka yote duniani ni yako
Hakuna jambo usiloliwe loliweza
Kwa nguvu zako Baba tumeshi tumeshinda
Imani yangu ipo kwako we
Wewe Bwana
Nami ntajificha chini yako
Wewe Mwamba
Wewe waweza
Wewe waweza Bwana
Wewe waweza
Wewe waweza Bwana
Wewe waweza
Wewe waweza Bwana
Wewe waweza
Wewe waweza Bwana
Unaweza Baba
Hakuna jambo usiloliwe loliweza
Kwa nguvu zako Baba tumeshi tumeshinda
Imani yangu ipo kwako we
Wewe Bwana
Nami ntajificha chini yako
Wewe Mwamba
Wewe waweza
Wewe waweza Bwana (Unaweza Bwana)
Wewe waweza (Hakuna aliye kama wewe)
Wewe waweza Bwana (Hakuna aliye kama wewe)
Wewe waweza (kama wewe)
Wewe waweza Bwana
Wewe waweza (Waweza)
Wewe waweza Bwana
Wewe waweza (Unaweza)
Wewe waweza Bwana (Waweza yote)
Wewe waweza
Wewe waweza Bwana
Wewe waweza
Wewe waweza Bwana
Wewe waweza (Unaweza Bwana)
Wewe waweza Bwana
Mfalme wa wafalme ni wewe ni wewe (Unaweza Bwana)
Hakuna wakulinganishwa na we Baba (Unaweza Bwana)
Nguvu zako hazina kikomo Baba (Unaweza)
Unaweza Bwana
Wewe waweza
Wewe waweza (Waweza)
Wewe waweza Bwana
Wewe waweza (wewe wewe)
Wewe waweza Bwana (Wewe waweza)
Wewe waweza (Wewe waweza Baba)
Wewe waweza Bwana (Nakuamini Baba)
Wewe waweza
Wewe waweza Bwana
Wewe waweza
Wewe waweza Bwana

Writer(s): Martin Kitetu, Noel Nderitu
Copyright(s): Lyrics © O/B/O DistroKid
Lyrics Licensed & Provided by LyricFind

Attach an image to this thought

Drag image here or click to upload image

The Meaning of Waweza - Acoustic

Be the first!

Post your thoughts on the meaning of "Waweza - Acoustic".

Latest Blog Posts
Lyrics Discussions
by Steffany Gretzinger ft. Bobby Strand

1

174
Hot Songs

5

2K
Recent Blog Posts