Jehovah
Lyrics
My Father's love for me
It goes and goes
My Father's love for me
It overflows
I will always be found
In the arms of my Father (In the arms of my father)
Nishikilie Baba
Ninapoogopa
Ni wewe tu unanilinda
Nishikilie Baba
Ninapoogopa
Ushindi ni wewe Jehovah
Wewe ni Jehovah
Nguvu yangu
Wewe ni Jehovah
Mkombozi wangu
Sitapungukiwa (Kiwa kitu)
Wewe ni Jehovah
Wewe ni Jehovah (Ah)
Wewe ni Jehovah
Tangu niwe mchanga
Hadi sasa sijaona ukituacha
Sisi wana wako we
Ninapotembea
Ni njia zako ninategemea
Nishikilie Baba
Ninapoogopa
Ni wewe tu unanilinda
Nishikilie Baba
Ninapoogopa
Ushindi ni wewe Jehovah
Wewe ni Jehovah
Nguvu yangu (Eh)
Wewe ni Jehovah
Mkombozi wangu
Na sitapungukiwa (Kiwa kitu)
Kwani wewe ni Jehovah
Wewe ni Jehovah (Wewe ni)
Wewe ni Jehovah
Nguvu yangu
Baba wewe ni Jehovah
Mkombozi wangu
Nami sitapungukiwa (Kiwa kitu)
Bwana wewe ni Jehovah
Wewe ni Jehovah (Oh)
Wewe ni Jehovah
Mfalme wa wafalme
Hakuna aliye kama we
Hakuna aliye kama we
Wewe ni Jehovah
Nguvu yangu
Wewe ni Jehovah
Mkombozi wangu
Na sitapungukiwa (Kiwa kitu)
Mfalme wa wafalme wewe
Wewe ni Jehovah
Jehovah
Jehovah
My Father's love for me
It goes and goes
My Father's love for me
It overflows
I will always be found
In the arms of my Father (In the arms of my father)
Nishikilie Baba
Ninapoogopa
Ni wewe tu unanilinda
Nishikilie Baba
Ninapoogopa
Ushindi ni wewe Jehovah
Wewe ni Jehovah
Nguvu yangu
Wewe ni Jehovah
Mkombozi wangu
Sitapungukiwa (Kiwa kitu)
Wewe ni Jehovah
Wewe ni Jehovah (Ah)
Wewe ni Jehovah
Tangu niwe mchanga
Hadi sasa sijaona ukituacha
Sisi wana wako we
Ninapotembea
Ni njia zako ninategemea
Nishikilie Baba
Ninapoogopa
Ni wewe tu unanilinda
Nishikilie Baba
Ninapoogopa
Ushindi ni wewe Jehovah
Wewe ni Jehovah
Nguvu yangu (Eh)
Wewe ni Jehovah
Mkombozi wangu
Na sitapungukiwa (Kiwa kitu)
Kwani wewe ni Jehovah
Wewe ni Jehovah (Wewe ni)
Wewe ni Jehovah
Nguvu yangu
Baba wewe ni Jehovah
Mkombozi wangu
Nami sitapungukiwa (Kiwa kitu)
Bwana wewe ni Jehovah
Wewe ni Jehovah (Oh)
Wewe ni Jehovah
Mfalme wa wafalme
Hakuna aliye kama we
Hakuna aliye kama we
Wewe ni Jehovah
Nguvu yangu
Wewe ni Jehovah
Mkombozi wangu
Na sitapungukiwa (Kiwa kitu)
Mfalme wa wafalme wewe
Wewe ni Jehovah
Jehovah
Jehovah
Writer(s): Noel Nderitu
Copyright(s): Lyrics © O/B/O DistroKid
Lyrics Licensed & Provided by LyricFind
The Meaning of Jehovah
Be the first!
Post your thoughts on the meaning of "Jehovah".