My Angel (Malaika)
My Angel (Malaika)

Miriam Makeba - My Angel (Malaika) Lyrics

Feb 6, 2006
10
My Angel (Malaika) Music Video

My Angel (Malaika) Lyrics

Malaika
Nakupenda malaika
Malaika
Nakupenda malaika

Ningekuoa mali we
Ningekuoa dada
Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa malaika
Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa malaika

Pesa
Zasumbua roho yangu
Pesa
Zasumbua roho yangu

Nami nifanyeje
Kijana mwenzio
Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa malaika
Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa malaika

Kidege
Hukuwaza kidege
Kidege
Hukuwaza kidege

Nami nifanyeje
Kijana mwenzio
Nashindwa na mali sina, we
Ningekuoa malaika
Nashindwa na mali sina, we
Ningekuoa malaika

Malaika
Nakupenda malaika
Malaika
Nakupenda malaika

Nami nifanyeje
Kijana mwenzio
Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa malaika
Nashindwa na mali sina we
Ningekuoa malaika
Ningekuoa malaika
Ningekuoa malaika

Copyright(s): Lyrics © CONCORD MUSIC PUBLISHING LLC
Lyrics Licensed & Provided by LyricFind

Attach an image to this thought

Drag image here or click to upload image

The Meaning of My Angel (Malaika)

Be the first!

Post your thoughts on the meaning of "My Angel (Malaika)".

Latest Blog Posts
Lyrics Discussions

1

707
Hot Songs

3

859

1

16
Recent Blog Posts