Iyena
Iyena

Diamond Platnumz ft. Rayvanny - Iyena Lyrics

37
Iyena Music Video

Iyena Lyrics

Ah Leo Chereko Chereko
Mwanenu nimekuwa
Zile kuringa mideko itapungua
Ahsante mama ulinifunza nkajua
Baba kasema kuomba mwiko
Raha ya chumvi kununua
Tena si kwa nazi
Si hirizi za waganga
Kwa baraka za baba na mama
Tu na dua
Waambie paparazi
Pingamizi wenye viranga
Waliosema hayawi hayawi yamekuwa

Iyena Iyena
Iyena Iyena
Iyena Iyena
Kwaheri tutaonana
Iyena Iyena
Iyena Iyena
Iyena Iyena
Ntawakumbuka sana

Ooh Ndoa baraka
Ukipata ushukuru
Maana wanayoililia ni wengi sana
Kwetu talaka
Kuitoa ni kufuru
Nimefunzwa vumilia
Niushinde ujana
Ili kesho mahususi
Kusudi wasinong'one
Embu nichumu niringe washushuke
Na hii pete ya harusi
Nakuvisha waone
Wakale sumu wavimbe wapasuke

Ati nashika nanga
Nteke nsichomoke ndani Anameremeta
Futa namba wablock vimada wa zamani Anameremeta
Sio vijembe vya kanga waziwazi mambo hadharani Anameremeta
Waliopanga mwenye nyumba kaja ndani Anameremeta

Iyena Iyena
Iyena Iyena
Iyena Iyena
Kwaheri tutaonana oh kwaheri baba mama
Iyena Iyena
Iyena Iyena
Iyena Iyena
Ntawakumbuka sana

Imefika tamati
Tulisubiri kitambo
Leo samaki
Kanasa kwenye chambo
Pongezi kwa kamati
Yanavutia mapambo
Napata picha safi
Litanikoma bundle
Mwanamke usafi
Gaga kulisugua
Mume akirudi sharti
Viatu kumvua
Kitandani marashi
Massage kumchua
Kisha anza sayansi
Viuno kutengua
Mambo ya kuzima taa
Si mahaba ni kuwanga
Washa japo ka mshumaa
Mumeo aone shanga

Makeup kinanda
Kaka suit kama mbunge Anameremeta
Mulo changa muda kujipooza na punje Anameremeta
Momo ndani Shivo amekuja na Fumbwe Anameremeta
Kula chanda ukishiba ruksa kafunge Anameremeta

Iyena Iyena
Iyena Iyena
Iyena Iyena
Kwaheri tutaonana eh kwaheri baba mama
Iyena Iyena
Iyena Iyena
Iyena Iyena
Ntawakumbuka sana

Saa nataka kusasambua Sasambu
Me nasasambua Sasambu
Aby Dad nasasambua mimi Sasambu
Sasambua
Tuone

Mguu moja juu Sasambu
Usishushe chini Sasambu
Cheza jitazame Sasambu
Sasambua
Tuone

Aisha kimobitel Sasambu
Nipe za baloteli Sasambu
Nyonga kibaiskeli Sasambu
Sasambua
Tuone

Akaa kama unashika ukuta Sasambu
Ifanye unashusha Sasambu
Taratibu zungusha Sasambu
Sasambua
Tuone

Sasambu Sasambu Sasambu
Sasambua
Tuone
Kama unawasha bajaji Sasambu
Imwagie na maji Sasambu
Tuwakomeshe vizazi Sasambu
Sasambua
Tuone

Writer(s): NASIBU ABDUL JUMA ISSAACK, RAYMOND SHABAN MWAKYUSA
Copyright(s): Lyrics © Universal Music Publishing Group
Lyrics Licensed & Provided by LyricFind

Attach an image to this thought

Drag image here or click to upload image

The Meaning of Iyena

Be the first!

Post your thoughts on the meaning of "Iyena".

Latest Blog Posts
Lyrics Discussions
by Steffany Gretzinger ft. Bobby Strand

1

174
Hot Songs

5

2K
Recent Blog Posts